MAJIBU TOKA KIVULINI
Kwako Mtani wangu,
Thesuperonenews.blogspot.com(Dassan)
WATU NA TABIA
Nieisoma mada yako vizuri sana. Japo nimeipenda lakini
sikuridhika na maoni yako. Umejitahidi kukwepa lawama ili usilaumiwe na
makabila husika. Ukweli ni kuwa maoni uliyoyasikia toka kwa watu mbalimbali juu
ya tabia za makabila ndiyo ukweli ulivyo. Kwa bahati mbaya hujafanya utafiti
juu ya jambo hilo. Mimi kwa kiasi nimejaribu na maoni niliyoyapata kwa bahati
nzuri yalitolewa na watu wa makabila husika ambao hawakutaka kujipendelea. Ni
ukweli usiopingika kuwa pamoja na tabia kuwa ya mtu binafsi, zipo tabia ambazo
zinaambatana na ukabila. Na hii inatokana na mila na malezi ya makabila hayo.
Uchoyo kwa mpare siyo jambo la siri.
Ufundi wa mapenzi kwa mtoto wa kitanga si ajabu.
Majivuno kwa mhaya sio siri.
Hasira kwa mhehe si ajabu.
Ulimbukeni kwa mgogo ni kitu cha kawaida.
Juju kwa mrangi na mfipa ni kawaida.
Ukarimu kwa mnyamwezi hauna ubishi.
Michepuko kwa mngoni ni kama jadi.
Ukorofi kwa mkurya hauna mjadala.
Umbeya kwa mzaramo ni sifa.
Huruma kwa wayao haina mipaka.
Mikato kwa wanyakyuka haina maswali ni maji mara moja:
kwamba kila kabila lina sifa zake kuu. Huwezi kuyajua haya mpaka utembee na ujichanganye sana. Lakini katika hali ya kawaida ukiwaeleza wenyewe lazima watakunja ngumi hata mimi pamoja na kujua nitajifanya sihusiki; ila ukweli unabaki palepale kuwa makabila hayafanani na watu ni wa makabila. Huwezi kusema mzungu na mswahili ni sawasawa tunapokuja kwenye tabia. Ila wazungu wanaweza kufanana na waswahili nao kufanana.

Wakatabahu,
MWENYEKITI WA KIVULINI
No comments:
Post a Comment