Saturday, 28 February 2015

KIVULINI KWETU KUREJEA URINGONI

Tunapenda kuwafahamisha wapenzi wetu kuwa Kivulini kwetu Blog imerejea tena kazini kuanzia leo baada ya kufanya marekebisho ya kiufundi katika maeneo yake kadhaa. Sambamba na  Blog hii pia habari hizi zitakuwa zikinakilishwa katika ukurasa wetu wa Facebook ili iwe rahisi kwa wale ambao watashindwa kuifungua blog kwa sababu mbalimbali waupate kupitia ukurasa wa facebook.

Nachukua fulsa hii kuwakaribisha marafiki wote na wapenzi wa Kivulini kwetu wajumuike kwa kila hali ili tuweze kukipata kile ambacho kimekusudiwa.  KARIBUNI SANA.